Pazia Tv
Pazia Tv
  • 916
  • 1 336 192

Відео

ANGEL MAGOTI AMLILIA MARCO WA ZABRON SINGERS “NILIONANA NAE JUMAMOSI”.
Переглядів 80День тому
ANGEL MAGOTI AMLILIA MARCO WA ZABRON SINGERS “NILIONANA NAE JUMAMOSI”.
DAKTARI AELEZA CHANZO KIFO CHA MARCO WA ZABRON SINGERS.
Переглядів 682День тому
DAKTARI AELEZA CHANZO KIFO CHA MARCO WA ZABRON SINGERS.
NDUGU WA MARCO WA ZABRON SINGERS ALIYEKUWA NAE DAKIKA ZA MWISHO AELEZA ILIVYOKUWA HADI MAUTI KUMKUTA
Переглядів 122День тому
Emmanuel Zabron ndiye aliyekuwa akimuuguza Marco Joseph hadi dakika za mwisho za Uhai Wake Hospital Ya JKCI Alikokuwa akipatiwa Matibabu Kutokana Na Tatizo La Moyo.
TANZIA: MARCO JOSEPH WA ZABRON SINGERS AFARIKI DUNIA.
Переглядів 75День тому
Kiongozi Na Muimbaji Wa Kundi La Muziki Wa Injili la @zabronsingers ndugu @marcojoseph_official amefariki Dunia katika taasisi ya Moyo (JKCI) alipokuwa anapatiwa Matibabu. Taarifa za Awali Kutoka Kwa Ndugu Yake @japhetzabron_official anasema kaka yake Alipata mshtuko Wa Moyo Wakiwa safarini kihuduma Nchini Kenya siku chache zilizopita. Jitihada za matibabu zilifanyika katika Hospital Ya Rufaa B...
MOSES ENDRAD ''NINGEMWAMBIA RAIS YESU ANAMPENDA''/AWASHAURI HILI TRC KUHUSU TRENI YA SGR'
Переглядів 1914 днів тому
MOSES ENDRAD ''NINGEMWAMBIA RAIS YESU ANAMPENDA''/AWASHAURI HILI TRC KUHUSU TRENI YA SGR'
WAIMBAJI KUTOKA KENYA EVELYNE WANJIRU NA TUMAINI WAWASILI TANZANIA/BOAZ DUKEN AWAPOKEA.
Переглядів 11214 днів тому
Live On Live JK International Airport,Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Kutoka 254 Nchini Kenya @evelynwanjiru_a amewasili Jijini D’salaam Kuungana na Mtumishi Wa Mungu @boazdanken_worship_minister Katika Ibada Ya “REVEALING JESUS THE MESSIAH LIVE RECORDING “ Itakayofanyika Kesho Tarehe 23 Aug 2024,Pale Viwanja Vya Chuo Cha Ardhi Barabara Ya Kwenda Makongo,Kuanzia Saa Moja Usiku. Follow @paziatv @jo...
MC Ablenty “Treni Ya SGR” Imerahisisha Mambo Mengi.
Переглядів 1814 днів тому
MC Ablenty “Treni Ya SGR” Imerahisisha Mambo Mengi.
MAONI YA Mch. Dr Joseph Mayala Juu Ya Vijana Gen Z) Wanaondamana Nchini Kenya/awashauri Wachungaji.
Переглядів 1514 днів тому
Mch Joseph Mayala Mitinje Wa Kanisa La AICT Akitoa Maoni Yake Juu Ya Gen z Wa Kenya .
MANAGER WA JOHN KAVISHE AELEZA KILA KITU KUHUSU IBADA YA JESUS EXEPERIENCE JUMAPILI HII 18 AUG 2024
Переглядів 4621 день тому
MANAGER WA JOHN KAVISHE AELEZA KILA KITU KUHUSU IBADA YA JESUS EXEPERIENCE JUMAPILI HII 18 AUG 2024
DAKIKA 4 ZA NEEMA GOSPEL CHOIR TAMASHA LA TWEN'ZETU KWA YESU 2024 SHINYANGA.
Переглядів 1921 день тому
DAKIKA 4 ZA NEEMA GOSPEL CHOIR TAMASHA LA TWEN'ZETU KWA YESU 2024 SHINYANGA.
MUSIC DIRECTOR KEPHA AMTAJA MENTOR WAKE/ AELEZA KUFANYA KAZI NA ANGEL BENARD/VIINGILIO KATIKA HUDUMA
Переглядів 5321 день тому
MUSIC DIRECTOR KEPHA AMTAJA MENTOR WAKE/ AELEZA KUFANYA KAZI NA ANGEL BENARD/VIINGILIO KATIKA HUDUMA
LENGO LA KUANZISHWA YOUTH OVERNIGHT KKKT KIJITONYAMA.
Переглядів 921 день тому
LENGO LA KUANZISHWA YOUTH OVERNIGHT KKKT KIJITONYAMA.
JOSEPH KUSAGA/LAMATA NA GODLIVER WAFUNGUKA SAFARI YA MAFANIKIO YAO
Переглядів 1621 день тому
JOSEPH KUSAGA/LAMATA NA GODLIVER WAFUNGUKA SAFARI YA MAFANIKIO YAO
JAPHET WA ZABRON SINGERS AWASHAURI VIJANA JAMBO HILI/ALBUM YAO MPYA/TOUR YA SIKU SABA KENYA.
Переглядів 2521 день тому
JAPHET WA ZABRON SINGERS AWASHAURI VIJANA JAMBO HILI/ALBUM YAO MPYA/TOUR YA SIKU SABA KENYA.
DR.GARVIN KWEKA AELEZA KILA KITU JINSI YA KUKABILIA NA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI .
Переглядів 23521 день тому
DR.GARVIN KWEKA AELEZA KILA KITU JINSI YA KUKABILIA NA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI .
ROSE MUHANDO KUMUULIZA SWALI HILI RAIS MAMA SAMIA KUHUSU UCHAGUZI /AWAPA USHAURI HUU VIJANA.
Переглядів 7021 день тому
ROSE MUHANDO KUMUULIZA SWALI HILI RAIS MAMA SAMIA KUHUSU UCHAGUZI /AWAPA USHAURI HUU VIJANA.
JOSHUA MLELWA AWEKA WAZI KUJA NA GROUP LAKE JIPYA/APATA KIGUGUMIZI KATIKA SWALI HILI.
Переглядів 4421 день тому
JOSHUA MLELWA AWEKA WAZI KUJA NA GROUP LAKE JIPYA/APATA KIGUGUMIZI KATIKA SWALI HILI.
RED CARPET: WALIOFIKA KWENYE TAMASHA LA TWENZETU KWA YESU/ NAMNA WALIVYOVAA/ HAJA ZA MIOYO YAO
Переглядів 4821 день тому
RED CARPET: WALIOFIKA KWENYE TAMASHA LA TWENZETU KWA YESU/ NAMNA WALIVYOVAA/ HAJA ZA MIOYO YAO
HITIMISHO LA TAMASHA LA TWENZETU KWA YESU LINALOFANYIKA HAPA SHINYANGA.
Переглядів 29921 день тому
HITIMISHO LA TAMASHA LA TWENZETU KWA YESU LINALOFANYIKA HAPA SHINYANGA.
WAKAZI WA ARUSHA WAFUNGUKA BAADA YA KUHUDHURIA IBADA YA “SHEKINAH GLORY” BY ELIYA MWANTONDO.
Переглядів 35628 днів тому
WAKAZI WA ARUSHA WAFUNGUKA BAADA YA KUHUDHURIA IBADA YA “SHEKINAH GLORY” BY ELIYA MWANTONDO.
MAJIBU YA ELIYA MWANTONDO BAADA YA KUFANYA IBADA YA “SHEKINAH GLORY” CALVARY TAMPLE ARUSHA.
Переглядів 17428 днів тому
MAJIBU YA ELIYA MWANTONDO BAADA YA KUFANYA IBADA YA “SHEKINAH GLORY” CALVARY TAMPLE ARUSHA.
Dakika 4 za Mwinjilist Johannes Amrtizer Kwenye Kilele Cha Miaka 85 Ya Kanisa TAG.
Переглядів 7928 днів тому
Dakika 4 za Mwinjilist Johannes Amrtizer Kwenye Kilele Cha Miaka 85 Ya Kanisa TAG.
DR.IPYANA APATA AJALI MBAYA YA KUGONGWA NA GARI/AELEZA KILA KITU ILIVYOKUWA.
Переглядів 2,4 тис.28 днів тому
DR.IPYANA APATA AJALI MBAYA YA KUGONGWA NA GARI/AELEZA KILA KITU ILIVYOKUWA.
TAZAMA DAKIKA 7 ZA MOTO ZORAVO NA FRANC JAMRACK KWENYE USIKU WA HOME COMING YA ANGEL BERNARD
Переглядів 2,2 тис.28 днів тому
TAZAMA DAKIKA 7 ZA MOTO ZORAVO NA FRANC JAMRACK KWENYE USIKU WA HOME COMING YA ANGEL BERNARD
ANGEL BENARD AFUNGUKA/MASANJA AELEZA KILA KITU,KEFA AWASHAURI WAIMBAJI/ELIYA MTSHIBI “ATULIE HOME”.
Переглядів 242Місяць тому
ANGEL BENARD AFUNGUKA/MASANJA AELEZA KILA KITU,KEFA AWASHAURI WAIMBAJI/ELIYA MTSHIBI “ATULIE HOME”.
HAIKA LAWERE AMSHAURI JAMBO HILI ANGEL BENARD/ SIRI YA MBEZI GARDEN KUFANYA VIZURI.
Переглядів 59Місяць тому
HAIKA LAWERE AMSHAURI JAMBO HILI ANGEL BENARD/ SIRI YA MBEZI GARDEN KUFANYA VIZURI.
WANANDOA KWENDA ZANZIBAR MWEZI AUGUST KUJFUNZA ,MAOMBI, UTALII NA KUFURAHIA NDOA.
Переглядів 11Місяць тому
WANANDOA KWENDA ZANZIBAR MWEZI AUGUST KUJFUNZA ,MAOMBI, UTALII NA KUFURAHIA NDOA.
JONATHAN NDALI: “ Angel Benard ameyagusa Maisha Ya Watu Wengi.
Переглядів 22Місяць тому
JONATHAN NDALI: “ Angel Benard ameyagusa Maisha Ya Watu Wengi.
MICHO: “ANGEL BENARD NI DADA NA RAFIKI WA WENGI”
Переглядів 50Місяць тому
MICHO: “ANGEL BENARD NI DADA NA RAFIKI WA WENGI”

КОМЕНТАРІ

  • @josephonyango6290
    @josephonyango6290 День тому

    Munishi your very transparent,

  • @phiddeschacha3143
    @phiddeschacha3143 День тому

    Dada Bella hongera Sana kwa jitihada zako za uimbaji na mengi uliyopitia. Naamini Mungu ataendelea kukuinua ktk viwango vingine kabisa. Na hapo studio hii interview ni nzuri lakini kelele ni nyingi sauti sauti ya maongezi haisikiki vyema.

  • @GregNyalale
    @GregNyalale День тому

    😂😂Malebo is the best😂😂😂

  • @MusaShabani-pf6ev
    @MusaShabani-pf6ev 3 дні тому

    Mnishi endelea kuijenga talanta Yako inaelekea ipo siku itafunuliwa wokovu halisi hata yenyewe imesema wokovu n mchakato

  • @TheopistaAloyce-ht8kr
    @TheopistaAloyce-ht8kr 5 днів тому

    Nmebarikiwa sana na hz nyimbo zao hasa MAISHA YAKO NI YAKO MWENYEWE.

  • @NicholasNgecu07
    @NicholasNgecu07 6 днів тому

    Huyu Malebo ana mambo, haha.

  • @JohnKiriza
    @JohnKiriza 6 днів тому

    Amen....

  • @NicholasNgecu07
    @NicholasNgecu07 7 днів тому

    Huu muda wote nilikuwa nkifikiri ni mkenya, ha. Nyimbo zako zilivuma tukiwa wana na tunazipenda hadi leo, Mungu akubariki Munishi.

  • @bayishimemathieu2693
    @bayishimemathieu2693 7 днів тому

    Njooni tuunge mkono chanel Yetu kwa kulikes, kusbcribe kukoment n kushare jamani

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 7 днів тому

    Ushuhuda huu unanaliza ila nimejua kitu kimoja ukiwa na Yesu wa kweli utapita mengi mitume waliuwa pamoja na dhiki na taabu za dunia bado hatutanyamaza kusema kweli ya Mungu ushuhuda huu umeniliza sana

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 7 днів тому

    Mungu tusaidie kizazi hiki kusikia na kuelewa mambo ya Rogoni

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 7 днів тому

    Kweli injili ya Baba Yetu moses kulola ni injili inayotoa machozi sana ila mwenye sikio na wasikie

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 7 днів тому

    Ushuhuda huu umenitoa machozi hakika nawaza injili ya leo pesa pesa na watu hawataki kutukanwa au kudhalilishwa kwa ajili ya kristo

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 7 днів тому

    Tunaomba namba samahani tuwasiliane

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 7 днів тому

    Kwa huduma zuri sana

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 7 днів тому

    Mungu awabariki sana watoto wa mozes kulola

  • @DaudipauloLendwala
    @DaudipauloLendwala 8 днів тому

    Hakuna kitu hapa tattoos pete kwenye nyimbo zako na pia watu haweelewi unachokiimba wasingekusifu

  • @RaphaelMduda
    @RaphaelMduda 8 днів тому

    ndugu yetu tonny alishavurunda?

  • @portagiagallet7368
    @portagiagallet7368 10 днів тому

    Beautiful interview🥰

  • @dezruh
    @dezruh 11 днів тому

    Njuu (njugu)

  • @davidmichael96
    @davidmichael96 11 днів тому

    Kindly bring Pastor Munishi to the bench also to get to know his story too

  • @gladnesskimati
    @gladnesskimati 11 днів тому

    Ooh my dear the gospel is not clear😢

  • @simpassagrace6907
    @simpassagrace6907 11 днів тому

    Hongera sana mtumishi Munishi hata Mimi nimefurahi kuona Malebo ameokoka

  • @mwarikimwariki2653
    @mwarikimwariki2653 11 днів тому

    Dr,kweka nimekuelewa

  • @emmanuelmakorere4835
    @emmanuelmakorere4835 12 днів тому

    Hi story ni ya kutengezewa movie

  • @AlsonSemoka-xp6vl
    @AlsonSemoka-xp6vl 12 днів тому

    Na mimi natamani ningeishi hizo zama,,zilikuwa zama zisizokuwa na mambo mengi,, No internet,,,watu kuheshimiana daah!!!!

  • @Bitlontravels555
    @Bitlontravels555 12 днів тому

    Bubblish jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Munishi kiboko

  • @Bitlontravels555
    @Bitlontravels555 12 днів тому

    Asante Pazia Tv umeitendea haki interview mkuu! Hongera. Asante pia Malebo story yako inatia moyo wengi

  • @JaliathMsilikale-x5n
    @JaliathMsilikale-x5n 13 днів тому

    Mungu asante Kwa pumzi hii

  • @hilarymark7583
    @hilarymark7583 14 днів тому

    Yaani mtu wa chuga ni Mchuga tu hata akizeeka

  • @EverlyneNjane-uo8om
    @EverlyneNjane-uo8om 14 днів тому

    You are a blessing bella

  • @user-cp5iz2pb3t
    @user-cp5iz2pb3t 14 днів тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @JULIAWANGECHI-wt3tf
    @JULIAWANGECHI-wt3tf 15 днів тому

    La😂kini huyu Ako na meno mengi,si tulisikia sita tayari yameenda?ameogopa yasiende mengine.

  • @PetroTsaxara
    @PetroTsaxara 17 днів тому

    Kumbe ni wewe yule malebo uliekataa kuokoka ❤❤❤

  • @faithngunjiri7696
    @faithngunjiri7696 18 днів тому

    Am here after hearing him sing at VCC today ...God is faithful

  • @adelebwale4818
    @adelebwale4818 19 днів тому

    Jambo jameni ninawashukuru sana kwa kutusaidia kutuonesha kaka Patrick kubuya na dada Rehema,ningeomba munisaidie na number ya dada Rehema asante🙏🙏

  • @anthony_genge
    @anthony_genge 20 днів тому

    nmependa hpo kwenye V.O.K K.B.C RTD TBC

  • @user-im7vi2yf2d
    @user-im7vi2yf2d 20 днів тому

    Au anakataa kuokoka kwa sababu una malaika

  • @user-im7vi2yf2d
    @user-im7vi2yf2d 20 днів тому

    We malebo wewe, acha hizo.

  • @HarrisonOmondi-zf8nc
    @HarrisonOmondi-zf8nc 23 дні тому

    Waaah,,natazama kutoka Kenya mjini Kisumu,, huyu Mzee ako na talent ya comedian soo funny I say

  • @rebecajeremiah1556
    @rebecajeremiah1556 24 дні тому

    😂😂😂 et ningelemewa

  • @jepibier
    @jepibier 24 дні тому

    Je kuna mwingiliano wowote ule la Wachagga na waNgoni

  • @priscamakwetta740
    @priscamakwetta740 27 днів тому

    Eliya mwantondo Mungu akutunze daima,🙏🙏ni moja ya washauri wazuri juu ya huduma yangu.

  • @MulundamusisiriLeroi
    @MulundamusisiriLeroi 27 днів тому

    Ongera Kaka Mungu Amu abari kabisa Mimi Ni COMEDY MUZEE LE ROI MULUNDA OFFICIEL à Bukavu RDCongo 🇨🇩🙏❤️🤝🇹🇿🎼🎶🙏👍

  • @OmarAmran-t7k
    @OmarAmran-t7k 28 днів тому

    Serikali naomba wawe wanaajiri ma TO walisaidie taifa, huku mtaani wanazingua , sio kuajiri vilaza bana ,

  • @MrMbarikiwa
    @MrMbarikiwa 29 днів тому

    Kwa kweli huyu dada amenibariki sana. Neema ya Mungu iwe juu yenu milele.

  • @DenisJackson-pj2vs
    @DenisJackson-pj2vs 29 днів тому

    Pole sana mtumishi wa Mungu . Mungu azaidishe utetezi juu ya huduma Yohana 16:33.

  • @LazarobalamLazarobalam
    @LazarobalamLazarobalam 29 днів тому

    Amen Amen nimeipenda hiyo

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 Місяць тому

    Pole sana mtumishi wa Mungu

  • @elibarikielikana1824
    @elibarikielikana1824 Місяць тому

    Mungu ana kusud na wewe mwana wa Mungu, pole sana azid kukukmarisha hautakuwa kipofu daima shetani ameshindwa dhumuni lake